EU YAVUTIWA NA UHIFADHI WA MIKOKO, UTALII WA BAHARI UNAOFANYWA NA TF
Balozi wa Umoja wa Ulaya (EU) nchini Tanzania, Jean-Marc Pisani, amevutiwa na juhudi za Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) katika uhifadhi wa mikoko na kuendeleza utalii wa bahari unaochangia kukuza uchumi wa buluu.Balozi Pisani ameeleza…