DKT. MUSHUMBUSI: TEKNOLOJIA ZA KISASA ZILETE TIJA KATIKA UHIFADHI WA MISITU
Na Mwandishi Wetu, IringaMkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti wa Misitu Tanzania (TAFORI), Dkt. Revocatus Mushumbusi, amewataka washiriki wa mafunzo ya teknolojia za kisasa kutumia ujuzi walioupata kuleta matokeo halisi katika uhifadhi na usimamizi…