DC SHINYANGA ATOA WITO WA KUONGEZA JUHUDI KATIKA UFUGAJI NYUKI
Na Mwandishi Wetu, ShinyangaMkuu wa Wilaya ya Shinyanga, Julius Mtatiro, amewataka maafisa na askari wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) kuongeza bidii na ubunifu katika usimamizi wa rasilimali za nyuki ili kuongeza uzalishaji wa asali na…