DC MOSHI AFUNGUA KAMPENI YA UPANDAJI MITI,MICHE 4900 YAPANDWA SANGITI
Na Mwandishi Wetu, MoshiMkuu wa Wilaya ya Moshi, Mhe. Godfrey Eliakimu Mnzava, amezindua rasmi kampeni ya upandaji miti wilayani humo huku miche 4,900 ikipandwa na kugawiwa kwa wananchi katika Shule ya Sekondari Sangiti na maeneo yanayoizunguka,…