BIASHARA YA KABONI YAFUNGUA NEEMA MPYA LINDI
Na Mwandishi Wetu, LindiFursa ya biashara ya kaboni imeelezwa kuwa mkombozi mpya wa uchumi wa misitu nchini, huku Serikali ikihimiza wananchi na wadau kuchangamkia rasilimali hiyo kwa manufaa ya kiuchumi na uhifadhi wa mazingira.Hayo yamebainishwa…