Waziri Mkuu ataka upandaji miti mji wa Serikali kukamilika
Dodoma. Katika kukamilisha azma ya Serikali ya Dodoma ya kijani, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametoa maagizo ya ukamilishwaji wa zoezi la upandaji miti katika Mji wa Serikali Mtumba ili kuufanya mji huo kuwa na hadhi ya makao makuu ya…