WAZIRI MALIASILI AHIMIZA UHIFADHI WA MISITU NCHINI
Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana (pichani juu) akizungumza na vyombo vya Habari mara baada ya kumaliza kuzunguka na kujionea huduma zinazotolewa na Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania – TFS katika Maonesho ya 46 ya…