WAZIRI KIJAJI AKAGUA MIRADI YA UTALII PUGU-KAZIMZUMBWI KWA MAANDALIZI YA AFCON
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb), amekagua maendeleo ya miradi ya utalii ikolojia katika Hifadhi ya Msitu wa Mazingira Asilia ya Pugu-Kazimzumbwi, inayosimamiwa na Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS), iliyopo Wilaya…