Wazazi Wasisitizwa Kukuza Uelewa wa Uhifadhi wa Misitu Kwa Watoto Wao
Jamii inayoishi karibu na maeneo ya hifadhi imetakiwa kuhakikisha watoto wanashirikishwa kikamilifu katika uhifadhi wa misitu na kulelewa katika msingi imara wa maadili, ili kujenga kizazi chenye uelewa na mtazamo chanya kuhusu kulinda rasilimali za…