WATALII WAONGEZEKA KWA ASILIMIA 20 KATIKA MISITU YA HIFADHI YA TFS
Mapato yavuka Sh bilioni 3 huku matamasha ya misitu yakivutia maelfuNa Mwandishi Wetu, DodomaIDADI ya watalii wanaotembelea vivutio vya utalii ikolojia vinavyosimamiwa na TFS imeongezeka kwa asilimia 20 katika mwaka mmoja, ikionyesha kukua kwa…