Wakala wa Misitu wapanda Miti 1,600 Kibaha kuadhimisha siku ya Misitu Duniani
Kibaha, Machi 21, 2025 – Katika kuadhimisha Siku ya Upandaji Miti Kitaifa na Siku ya Misitu Duniani, Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) Kanda ya Mashariki wamepanda miti ya mikaratusi 1,600 katika eneo la Kidimu, Wilaya ya Kibaha, ikiwa ni…