TFS yapiga jeki sekondari Itala, kituo cha polisi Igoma
Mbeya. Shule ya Sekondari ya Itala iliyoko Kata ya Igoma, Wilaya ya Mbeya Vijini imepokea msaada wa madawati 120 kutoka kwa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) Shamba la Miti Kiwira. Mhifadhi Mkuu wa Shamba la Kiwira, Thadeus Shirima…