TFS Watumia Michezo Kuhamasisha Uhifadhi
Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania umeaandaa bonanza la michezo ambalo limewakutanisha takribani watumishi 251 kutoka katika kanda zinazosimamiwa na TFS kwa lengo la kuwaweka karibu na kujenga zaidi ushirikiano baina yao ambalo limeanza Novemba 1,…