TFS Kuuza Miti ya Misaji Kwa Mnada wa Kielektroniki Julai
Dodoma. Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) umetangaza kufanya mauzo ya miti aina ya misaji yenye jumla ya meta za ujazo 6,480.31 kwa njia ya mnada wa kielektroniki, hatua inayolenga kuongeza uwazi na ufanisi katika biashara ya mazao ya misitu…