TEKNOLOJIA YA SATELAITI YAISAIDIA TFS KUPUNGUZA MOTO WA MISITU KWA ASILIMIA 11
-Mafunzo kwa wananchi na vikosi vya moto yaongeza usalama wa hifadhi-Na Mwandishi Wetu, DodomaJUHUDI za Serikali za kutumia teknolojia ya satelaiti kufuatilia moto wa misitu zimeanza kuzaa matunda baada ya matukio ya moto kupungua kwa wastani wa…