TANZANIA YALENGA DOLA MILIONI 41 KUPAMBANA NA UHARIBIFU WA MAZINGIRA
Na Mwandishi WetuDAR ES SALAAM: Naibu Katibu Mkuu wa Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira), Dkt. Maduhu Isaac Kazi, amesema Tanzania inatarajia kupata dola za Marekani milioni 41.06 kupitia awamu ya tisa ya Mfuko wa Dunia wa Mazingira (GEF-9),…