Rais Samia apongeza ushiriki wa TFS Kizimkazi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amekabidhi cheti cha pongezi kwa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) kutokana na ushiriki wake wa kipekee katika Tamasha la Tisa la Kizimkazi lililofanyika Kusini Unguja,…