Nyuki Marathon Kufanyika Kesho AICC Club Arusha Kesho, Yalenga Kutangaza Ufugaji Nyuki Duniani
Arusha. Tanzania ipo tayari kutumia Nyuki Marathon itakayofanyika kesho kwenye viwanja vya AICC Club Arusha kama jukwaa la kuhamasisha ufugaji wa nyuki na maandalizi ya kuwa mwenyeji wa Mkutano wa 50 wa Apimondia unaotarajiwa kufanyika jijini Arusha…