Mzinga wa Nyuki Wavutia Wahadzabe Kili-Fair 2025, TFS Yatangaza Utalii wa Nyuki
Mzinga wa kisasa wa nyuki uliowekwa mezani katika banda la Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) leo umegeuka kivutio kikubwa kwenye Maonesho ya Kimataifa ya Utalii ya Karibu Kili-Fair 2025, na kuwashangaza baadhi ya wageni wa kipekee kutoka…