MISITU, NYUKI ZATAJWA KUWA NGUZO YA USALAMA NA UCHUMI AFRIKA
Na Mwandishi Wetu, Dar es SalaamWAKALA wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) umesema usimamizi endelevu wa misitu na rasilimali za nyuki ni nguzo muhimu katika kuimarisha usalama wa mazingira, kukuza uchumi na kujenga jamii zenye ustahimilivu dhidi ya…