MBUNGE KILINDI AFURAHISHWA NA JUHUDI ZA TFS ZA KUHIFADHI MISITU.
Mbunge wa Kilindi Mh. Swalehe Mbwana Mhando ameridhishwa na kufurahishwa na juhudi za TFS katika kuhifadhi misitu na kutoa huduma kwa wananchi!Pongezi hizo alizitoa jana tarehe 31 Oktoba, 2026 wakati wa kikao kifupi kati ya Kamanda wa Kanda na…