Masauni: Tanzania Yazidi Kusonga Mbele Katika Mapambano ya Uharibifu wa Mazingira
Dar es Salaam, Julai 6, 2025 — Serikali imeahidi kuendelea kuchukua hatua thabiti kukabiliana na changamoto za kimazingira huku ikisisitiza umuhimu wa Watanzania kutumia nishati safi ya kupikia ili kulinda misitu na afya za wananchi, hususan…