Kamisheni ya Tabianchi ya Bonde la Kongo yatua nchini kwa mazungumzo ya uhifadhi
                                                            Wizara ya Maliasili na Utalii kupitia Wakala wa Huduma za MisituTanzania (TFS) itakuwa mwenyeji wa Waziri wa Utalii na Mazingira wa Jamhuri ya Kongo na Katibu Mtendaji wa Kamisheni ya Tabianchi ya Bonde la Kongo (CBCC), Mhe. Arlette Soudan –…