TFS YAKABIDHI VIFAA VYA TEHAMA KWA SHULE ZA MSINGI MBILI
Tunduma – Songwe: Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania – TFS umekabidhi Kompyuta 34 na Meza 20 na viti 40 zenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 40 kwa shule mbili za msingi za Halmashauri ya…