Afrika yaonywa kuchukua hatua haraka kulinda misitu, wanyamapori
Banjul, Gambia, 1 Desemba 2025 — Viongozi wakuu wa sekta ya misitu na wanyamapori barani Afrika wamefungua Mkutano wa 25 wa Tume ya Misitu na Wanyamapori Afrika (AFWC25) pamoja na Wiki ya 9 ya Misitu na Wanyamapori Afrika (AFWW9) hapa Banjul,…