Resources

Waziri Mkuu Mstaafu wa Kwanza Kulia, akiwa ameshika Jarida la Ufugaji nyuki, Siku ya ufugaji Nyuki Duniani ambayo kitaifa yalifanyika katika uwanja wa Majimaji Songea Mkoani Ruvuma na kuhudhuliwa na Viongozi mbalimbali wa ngazi ya chama na Serikali

WAZIRI MKUU MSTAAFU MIZENGO PINDA AWATAKA VIONGOZI WA RUVUMA KUHAMASISHA UFUGAJI WA NYUKI

Ruvuma. WAZIRI mkuu mstaafu Mizengo Pinda ameutaka uongozi wa Mkoa wa Ruvuma kuhamasisha ufugaji wa nyuki kwa wakazi wa mkoa huo ili waweze kujiongezea uchumi kupitia mazao yanayotokana na Nyuki hao.  Wito…

Read More
Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Damas Ndumbaro Kushoto akiwa na Mhifadhi Mkuu wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania Prof. Dos Santos Silayo wakati wa Harambee ya uchangiaji wa ukarabati wa Makumbusho ya Maji Maji Mjini Songea

TFS YACHANGIA ZAIDI YA MILIONI 20 HARAMBEE YA KUBORESHA HUDUMA ZA MAKUMBUSHO YA MAJIMAJI SONGEA

Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) jana imechangia zaidi ya milioni 20 kwenye harambee ya kuchangia uboreshaji wa huduma za Makumbusho ya Taifa ya Majimaji yaliyopo Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma. Kwa kutambua…

Read More

UUZAJI WA MAGOGO YA MTI WA MKURUNGU KWA NJIA YA MNADA KATIKA ENEO LA BANDARI YA NCHI KAVU – UBUNGO,

Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) utauza magogo vipande 18,489 ya mti wa Mkurungu (Pterocarpus Tinctorius) yenye jumla ya meta za ujazo 1,357.026 iliyopo katika eneo la Bandari ya Nchi Kavu –…

Read More

FOMU YA MAOMBI YA UVUNAJI MITI KIBIASHARA

Fomu ya maombi imendaliwa kwa kuzingatia Kanuni Namba 3 ya Kanuni za Misitu, 2004; Tangazo la Serikali Na. 69 la tarehe 9/06/2006; Tangazo la Serikali Na. 255 la tarehe 28/07/2017 na Tangazo la Serikali Na. 173…

Read More

UUZAJI WA MITI YA MISAJI KWENYE MISITU YA HIFADHI YA KWANI NA TONGWE-MUHEZA NA HIFADHI YA NILO

Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS)-Kanda ya Kaskazini unatarajia kuuza miti aina ya Misaji  (tectona grandis (teak) yenye jumla ya meta za ujazo 1,600.883  iliyopo katika mipaka ya Misitu ya Hifadhi…

Read More

MABADILIKO YA TAREHE YA KUUZA MAGOGO YA MKURUNGU KWA NJIA YA MNADA KATIKA BANDARI YA NCHI KAVU

Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) utauza magogo vipande 18,489 ya mti wa Mkurungu (Pterocarpus Tinctorius) yenye jumla ya meta za ujazo 1,357.026 iliyopo katika eneo la Bandari…

Read More

MABADILIKO YA TAREHE ZA KUUZA WA MITI YA MISAJI KWA NJIA YA MNADA KATIKA SHAMBA LA MITI MTIBWA NA LO

Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) utauza miti aina ya misaji yenye jumla ya meta za ujazo 11,270.847 iliyopo katika mashamba ya miti Mtibwa Mkoani Morogoro na Longuza Mkoani Tanga. Jumla ya…

Read More