Wizara ya Maliasili na Utalii Yapongezwa kwa Ubunifu wa Miradi ya Utalii
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Maliasili na Utalii kwa ubunifu wake katika kuboresha sekta ya utalii kupitia miradi mbalimbali ya miundombinu.Pongezi hizo zilitolewa leo Februari 16, 2025 wakati wa…