Utalii wa Nyuki wawa kivutio Tamasha la Kizimkazi
Kizimkazi. Banda la Wizara ya Maliasili na Utalii kupitia Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania – TFS limeendelea kuwa kivutio baada ya kuongezwa zao jipya la utalii tofauti na ilivyokuwa katika matamasha ya miaka ya nyuma ya Kizimkazi.Zao hilo…