Urusi na Tanzania waongeza Ushirikiano wa Kisayansi na Elimu
Urusi imesisitiza tena dhamira yake ya kuimarisha uhusiano wa kisayansi, utafiti na elimu na Tanzania katika sekta za mazingira na teknolojia, huku ujumbe wa wajumbe kumi kutoka Urusi ukiwa nchini kama sehemu ya Msafara wa Kisayansi na Kielimu wa…