UKEREWE YAFAIDIKA NA UBIA WA TFS, HEKTA 1,050 ZAGEUKA FURSA
Na Mwandishi Wetu, UkereweMachi 25, 2026Ukerewe imeanza kunufaika na fursa mpya za ajira na ukuaji wa uchumi kufuatia kuimarishwa kwa ubia wa usimamizi wa Shamba la Miti la Ubia la Rubya lenye ukubwa wa hekta 1,050, baada ya Wakala wa Huduma za…