Ujumbe wa kisayansi kutoka Urusi watembelea Tafori kujadili ushirikiano wa utafiti
Morogoro, Tanzania – Machi 11, 2025 – Katika jitihada za kuimarisha ushirikiano wa kimataifa katika utafiti wa misitu na uhifadhi wa mazingira, ujumbe wa wanasayansi kutoka Urusi umetembelea Taasisi ya Utafiti wa Misitu Tanzania (TAFORI). Ziara…