TFS Yawapandisha Vyeo Makamanda Watatu, Yaongeza Nguvu Katika Usimamizi wa Misitu
Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) umeimarisha safu yake ya uongozi baada ya Kamishna wa Uhifadhi, Prof. Dos Santos Silayo, kuwapandisha vyeo watumishi watatu walioteuliwa kuwa Makamishna Wasaidizi Waandamizi, kutokana na mchango wao katika…