TFS ya asa jamii kuilinda Misitu na Kupanda miti kukabiliana na athari za mabadiriko ya Tabianchi
Dar es Salaam. Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) umesisitiza umuhimu wa jamii kushiriki upandaji miti na kuunga juhudi za Serikari kushiriki katika usimamizi endelevu wa misitu kama nguzo ya kulinda vyanzo vya maji, kuhifadhi…