TFS YATAKA MAGEUZI YA MATUMIZI YA NISHATI KUOKOA MISITU
Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) umetumia maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani kutoa wito kwa wananchi kuachana na matumizi ya kuni na mkaa, na badala yake kuhamia kwenye nishati safi ya kupikia ili kulinda misitu na mazingira kwa…