TFS Yapongezwa na Kamati ya Bunge ya Uwekezaji
Dodoma, Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC) imeipongeza Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) kwa mafanikio yake katika kutekeleza majukumu yake.Pongezi hizo zilitolewa na Mwenyekiti wa kamati, Mhe. Augustine…