TFS Yaibuka na Utalii wa Nyuki Katika Maonesho ya SITE 2024
Dar es Salaam, Oktoba 11, 2024 – Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) leo imekuwa kivutio kikubwa katika Maonesho ya Nane ya Kimataifa ya Swahili International Tourism Expo (SITE), yaliyofunguliwa rasmi na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa…