Serikali yagawa Miche 5,000 Kuhimiza Uhifadhi wa Misitu
Karatu, Tanzania – Katika kuadhimisha Siku ya Misitu Duniani na Siku ya Upandaji Miti Kitaifa, serikali kupitia Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) imegawa miche 5,000 ya miti kwa shule za sekondari Lake Eyasi, Diego na Lostete wilayani…