RC BABU AONGOZA UPANDAJI WA MITI MOSHI, MICHE 2,000 YAPANDWA NJORO
MoshiMKUU wa Mkoa wa Kilimanjaro, Mhe Nurdin Babu, ameongoza zoezi la upandaji miti lililohusisha upandaji wa miche 2,000 katika eneo la Njoro, Manispaa ya Moshi, sambamba na utoaji wa elimu ya uhifadhi wa mazingira kwa wananchi.Zoezi hilo…