PROF. SILAYO AAGA AFWC25, ATOA WITO WA MAGEUZI MAKUBWA
Na Mwandishi Wetu, BanjulBANJUL, Gambia — Afrika imeanza sura mpya ya mageuzi katika sekta ya misitu na wanyamapori baada ya Mwenyekiti wa Tume ya Misitu na Wanyamapori Afrika (AFWC25), Prof. Dos Santos Silayo, kukabidhi rasmi uenyekiti kwa Mr.…