Nyuki Marathon Yavutia Mamia Arusha, Yaweka Tanzania Kwenye Ramani ya Apimondia 2027
Arusha. Mamia ya washiriki leo, Julai 13, 2025, wamejitokeza kushiriki Nyuki Marathon ya pili iliyofanyika kwenye viwanja vya New AICC jijini Arusha, ikiwa na lengo la kuhamasisha ufugaji nyuki na kuonesha mchango wake katika uchumi wa mtu mmoja…