MITI 3,000 YAPANDWA KULINDA CHANZO CHA MAJI KITETO
Na Mwandishi Wetu, KitetoKATIKA kuelekea maadhimisho ya Siku ya Misitu Duniani na Kampeni ya Kitaifa ya Upandaji Miti, wakazi wa Wilaya ya Kiteto wameungana na wataalamu wa misitu kupanda miche 3,000 katika chanzo cha maji kilichopo mji wa Kibaya,…