MAKAMU WA RAIS AONGOZA UPANDAJI MITI SOKOINE, ASISITIZA UTUNZAJI WA MISITU
Na Mwandishi Wetu, LindiMakamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe Balozi Emmanuel Nchimbi, leo Machi 19, 2026 ameongoza zoezi la upandaji miti katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Sokoine mkoani Lindi, ikiwa ni sehemu ya uzinduzi rasmi wa…