MAKAMU WA RAIS AKAGUA BWAWA LA MINDU,ASISITIZA UHIFADHI WA VYANZO VYA MAJI
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, ametembelea na kukagua Bwawa la Mindu mkoani Morogoro, ambalo ni chanzo kikuu cha maji safi kwa wakazi wa Manispaa ya Morogoro, na kusisitiza…