Historia Mpya Lushoto: Tamasha la Kwanza la Utalii Lazinduliwa kwa Kishindo
Wilaya ya Lushoto mkoani Tanga leo Septemba 22, 2024 imeandika historia mpya kwa kuzindua rasmi tamasha lake la kwanza la Utalii linalolenga kuunga mkono juhudi za Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika kukuza sekta ya utalii nchini.Akizungumza…