Fursa Mpya kwa Wafugaji Nyuki: Asali ya Tanzania Yapata Kibali Kuuzwa China
Tanzania na China leo zimesaini Itifaki ya kuuza Asali ya Tanzania nchini China huku Serikali ya Tanzania ikitoa wito kwa watanzania kuchangamkia fursa ya kuzalisha asali yenye ubora kwa wingi ili kuinua vipato vyao na uchumi wa taifa kwa…