Dkt. Tulia Aongoza Kampeni ya Upandaji Miti Milioni Mbili Kupambana na Mabadiliko ya Tabia Nchi
Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Tulia Ackson, ametoa wito kwa jamii kuzingatia matumizi ya nishati safi na kuchukua hatua za kutunza mazingira kupitia upandaji wa miti rafiki.Akizungumza…