Afrika Yapata Uongozi Mpya wa Misitu na Wanyamapori, Prof. Silayo aaga
BANJUL, Gambia — Desemba 2, 2025Afrika imepata uongozi mpya wa kusimamia rasilimali za misitu na wanyamapori baada ya Ebrima Jawara, Katibu Mkuu Wizara ya Mazingira ya Gambia, kuchaguliwa kwa kauli moja kuwa Mwenyekiti wa Mkutano wa 25 wa Tume ya…