TFS Yaimarisha Mapambano Dhidi ya Uhalifu wa Misitu kwa Vikosi Maalumu
Na Mwandishi Wetu, MleleMlele, Katavi. Mkuu wa Wilaya ya Mlele, Mhe. Alhaj Majid Mwanga amesema mafunzo maalumu ya ukamataji salama na udhibiti wa vikosi vya Rapid Response Team (RRT) yaliyotolewa kwa askari wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania…