Habari » Publications and Reports

Mwongozo wa Uvunaji Katika Misitu ya Vijiji

Mwongozo wa Uvunaji Katika Misitu ya Hifadhi ya Vijiji Chini ya Sheria ya Misitu ya Mwaka 2002, jamii inaweza kulinda, kuhifadhi, kusimamia na kutumia kiundelevu misitu katika ardhi ya kijiji ili kukidhi mahitaji yao ya kimaendeleo ya muda mrefu. Mpaka sasa, zaidi ya hekta milioni 2 za misitu zinasimamiwa na serikali za vijiji zaidi ya elfumoja nchini kote. Jamii zinazosimamia misitu hii zina shauku ya kujua jinsi wanavyoweza kunufaika kutokana na uvunaji endelevu.

Pakua Faili: