Habari na Matukio

TANGAZO LA MNADA WA MKURUNGU MKOANI TABORA 20 SEPTEMBA, 2021

UUZAJI WA MAGOGO YA MTI AINA YA MKURUNGU KWA NJIA YA MNADA KATIKA KIJIJI CHA WACHAWASEME (IGAGALA No 9) NA KIJIJI CHA MPWAGA (IGAGALA No3) WILAYANI KALIUA MKOA WA TABORA  Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania…

Soma Zaidi

WAZIRI WA MALIASILI DR,DAMAS NDUMBARO AWATAKA WATANZANIA KUJIPANGA KUTUMIA NISHATI YA MKAA MBADALA

WAZIRI wa Maliasili na Utalii Dr, Damas Ndumbaro amewataka watanzania kujipanga kutumia Nishati ya  mkaa mbadala ili kuendelea kuilinda misitu isiharibiwe. Wito huo ameutoa wakati akizindua mkakati wa utekelezaji…

Soma Zaidi

SALES OF STANDING TEAK TREES BY PUBLIC AUCTION AT MTIBWA AND LONGUZA FOREST PLANTATIONS

Tanzania Forest Services Agency (TFS) intends to sale standing teaktrees with a total volume of 8,676.111 m3 grown at Mtibwa in Turiani, Morogoro Region and Longuza in Muheza, Tanga Region. A total…

Soma Zaidi

UUZAJI WA MITI YA MISAJI KWA NJIA YA MINADA YA HADHARA KATIKA MASHAMBA YA MITI YA MTIBWA NA LONGUZA

Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) utauza miti aina ya misaji yenye jumla ya meta za ujazo 8,676.111 iliyopo katika mashamba ya miti Mtibwa Mkoani Morogoro na Longuza Mkoani Tanga. Jumla ya meta…

Soma Zaidi
Waziri Mkuu Mstaafu wa Kwanza Kulia, akiwa ameshika Jarida la Ufugaji nyuki, Siku ya ufugaji Nyuki Duniani ambayo kitaifa yalifanyika katika uwanja wa Majimaji Songea Mkoani Ruvuma na kuhudhuliwa na Viongozi mbalimbali wa ngazi ya chama na Serikali

WAZIRI MKUU MSTAAFU MIZENGO PINDA AWATAKA VIONGOZI WA RUVUMA KUHAMASISHA UFUGAJI WA NYUKI

Ruvuma. WAZIRI mkuu mstaafu Mizengo Pinda ameutaka uongozi wa Mkoa wa Ruvuma kuhamasisha ufugaji wa nyuki kwa wakazi wa mkoa huo ili waweze kujiongezea uchumi kupitia mazao yanayotokana na Nyuki hao.  Wito…

Soma Zaidi